Ad Code

Responsive Advertisement

JE UNAWEZAJE KUJENGA UONGOZO WENYE USHAWISHI KWENYE SAFARI YA MAFANIKIO YAKO?




HITIMISHO.


Habari rafiki yangu mpendwa? Nimatumaini yangu kuwa unaendelea vizuri  huku  ukiendelea kuchukua hatua Ili kuhakikisha  maisha yako yanakuwa bora sana, nasi kama ilivyokawaida yetu nikuwa huu nimwaka wetu wa mafanikio makubwa na ili tuweze kuhakikisha kwa mwaka huu tunaenda kufanya makubwa basi kila siku tunahakikisha tuanenda KUJIFUNZA, KUTAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA, mambo haya matatu yanamchango mkubwa sana kwetu. 


Nichukue nafasi hii nzuri kukukaribisha sana katika kuhitimisha somo letu nzuri ambalo tulikuwa nalo katika siku mbili tukijifunza njia sahihi zakujenga uongozi wenye ushawishi katika maeneo yetu ya kazi/biashara. Katika kuhitimisha huku tunaenda kujibu maswali ya tathmini kulingana na kile ambacho tumejifunza katika masomo hayo ya siku zote mbili, karibu sana.


KAZI YA KUFANYA

-Jiulize ni watu gani unajukumu la kuwaongoza, je kazini? Au kwenyebiashara? Au nyumbani? Je nindugu? Kitendo cha kujua aina yawatu unaowaongoza kinamsaada mkubwa sana katika kufanikiwa kwenye uongozi wako kwasababu kila eneo lina utaratibu wake wa uongozi.


-Je utatumia mbinu gani za kuweza kuwaongoza vizuri hao unaowaongoaza (andika list ya mbinu au kanuni ambazo utatumia katika uongozi wako)


-Utawashauri nini kuhusiana na uwezo wao?


-Mtu/watu unaotaka kuwaongoza ni watu wa aina gani na wanauwezo gani? Wanaubora gani na mapungufu gani? Na wanaweza kujiboresha kwa kufanya nini?


-Je utatumia njia gani kuweza kuwasaidia wale unaowangoza ili waweza kuwa bora.



Kwa hayo machache ndio tumefikia mwisho wa somo hili, na mwisho somo moja ni mwanzo wa somo lingine hivyo usikaemba na ukurasa kwaajiri ya kupata masomo mbalimbali.


Ni mimi rafiki yako

Frank mapunda

Www.nguvuyamaarifa.blospot.com

0758918243

0656918243

0621049901


KWA MAARIFA ZAIDI KARIBU UJIPATIE VITABU


NGUVU YA MAARIFA


SOFTCOPY 10000/=


TAJIRIKA KWA UFUGAJI WA KUKU 7000/=


Post a Comment

0 Comments

Close Menu