Ad Code

Responsive Advertisement

NATUMIAJE AKILI YAKO?


Mtu hawezi kuishi duniani bila ya kutumia akili yake na iwapo atafanya hivyo basi maisha ya mtu huyo yatakuwa yahovyo sana. Binadamu anazaliwa akiwa hana silaya yeyote zaidi ya ubongo wake ila wanyama wanazaliwa wakiwa na uwezo wao pamoja na nguvu zao hivyo ndivyo vinavyowafanya waweze kuishi na kijitafutia chakula lakihi hivyo siyo lwa sisi binadamu kwasababu binadamu hatuna nguvu kama wanyama. Hivyo ili mwanadamu aweze kupata chakula nilazima apande mazao kitu kinachohitaji akili, mwanadamj nilazoma ajifunze kutunza chakula kitu kinachohitaji akili mwadamu nilazima ajenge makazi kitu kinachohitaji akili, anahitaji atengeneze silaha kwaajiri ya kujilinda kitu kinachihitaji akili, anahutaji atengeneze chombo cha usafiri kitu kinachohitaji akili lakini vitu hivyo vyote ambavyo mwanadamu anafanya kwakutumia akili  viumbe vingine vinafanya bila kutumia akili bali wanatumia nguvu na uwezo wao lakini siyo akili kwamaana ya kufikiri kwa kina, AKILI, AKILI, AKILI ndio silaha pekee kwa mwanadamu aliyonayo na AKILI ndio itamletea chochote akitakacho.

Swali kwako unatumiaje akili yako?

Ni mimi rafiki yako
Frank mapunda
Www.nguvuyamaarifa.blogspot.com
0758918243

KWA MAHITAJI YA VITABU JIPATIE

NGUVU YA MAARIFA KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA
SOFTCOPY 10000/=

TAJIRIKA KWA UFUGAJI WA KUKU
SOFTCOPY 7000/=

Post a Comment

0 Comments

Close Menu