KITABU
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCdB8ietqmz9eQMk6CqZHCr2vHnmSktdFj9sXSkzP3Vog7n9vzoxOqWql7immVSUc0nEgRuL_lV7GJpvIaPeTr94ZjZ8eWdPhMEUX3VqenFylBhH5C5_EtLuJwh659_ZV4KvPDU2eYJxBv/s200/IMG-20190621-WA0013.jpg)
NGUVU YA MAARIFA KUELEKEA MAFANIKO MAKUBWA
Habari rafiki.
Ninayo furaha kubwa kukujulisha kuwa kitabu cha NGUVU YA MAARIFA sasa kipo tayari.
NINI KILICHOPO NDANI YA KITABU HIKI.
Kitabu hiki kimejaa maarifa bora kuhusu maisha na mafanikio. Maarifa ni jambo la muhimu sana katika maisha ya mwanadamu yeyote hasa katika eneo la mafanikio, mafanikio yeyote yanatokana nakiwango cha maarifa ambayo mtu anayo bila maarifa sahihi ningumu sana kufanikiwa katika eneo la maisha, kuna nguvu kubwa ya maarifa katika eneo la mafanikio ndio maana nimeona nikuandalie kitabu bora kabisa ambacho kitakupa maarifa bora katika eneo la maisha na mafanikio
.
Yafuatayo nibaadhi ya mambo ambayo utajifunza kwakina ndani ya kitabu hiki ambayo utapata maarifa bora sana ambayo yatakusaidia wewe rafiki yangu kuweza kufikia kiwango kikubwa cha mafanikio katika maisha.
đŸ’¥jinsi ya kutengeneza picha (maono) kubwa ya maisha yako. Mafanikio yeyote yanatokana na picha (maono) aliyonayo mtu husika hii nikutokana na kuwa mafanikio ni mchakato na mchakato unaanza picha (maono) ambayo mtu anayo kuhusu jambo analohitaji katika maisha bila kuwa na picha (maono) kubwa katika katika jambo lolote ni ngumu sana sana kufanikiwa hii nikwasababu mafanikio hayatokei kwa bahati mbaya bali nimatokeo ya picha (maono) ambayo mtu anayo na kuyaingiza kwenye mchakato (vitendo) hapo ndipo mafanikio yanapotokea. Ndani ya kitabu hiki utajifunza kwa undani zaidi jinsi yakutengeneza picha kubwa ya maisha yako na kuweza kuyafanyia kazi maono yako hadi kufikia mafanikio unayoyahitaji.
đŸ’¥ njia sahihi ya kuweka malengo katika maisha. Hili ni eneo muhimu sana kwa mtu yeyeto mwenye nia ya dhati ya kufanikiwa katika maisha , watu wengi wamekuwa wakiishi maisha bila kuwa na malengo na mala nyingine wamekuwa wakijitahidi kuweka malengo lakini wanashindwa kufikia malengo hayo hii imekuwa ikiwachelewesha wengi kufanikiwa katika maisha. Unaweza kujiuliza nini tatizo basi jibu limepatikana tatizo umeshindwa kuweka malengo sahihi katika maisha yako, kwakuwa umekosa maarifa sahihi jinsi ya kuweka malengo katika maisha yako ndio maana umekuwa ukiweka malengo ambayo unashindwa kuyafikia, watu wanao fanikiwa katika maisha wanajua namna ya kuweka malengo sahihi, malengo ambayo yanafikika na kupimika, ndani ya kitabu hiki utajifunza njia sahii ya kuweka malengo katika maisha.
đŸ’¥jinsi ya kugundua kipaji na kusudi la kuzaliwa kwako. Hili ni eneo la Muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, kila mwanadamu aliyezaliwa duniani kabla ya kuzaliwa Mungu aliweka kusudi ndani yake, kabla ya kuzaliwa kwamwanadamu yeyote Mungu alimpangia jukumu la kuja kufanya, huenda wazazi hawakupanga wewe uzaliwe lakini Mungu aliruhusu wewe uzaliwe na alipo ruhusu uzaliwe aliweka kusudi ndani yako la kuja kufanya hapa duniani. Swali kwako rafiki je unalijua kusudi la kuzaliwa kwako? Huenda umekuwa ukihangaika kwa mda mrefu kutafuta kazi yakufanya bila mafanikio, huenda ulipata nafasi ya kupata kazi eneo furani lakini kazi hiyo imeshindwa kukupa furaha maishani mwako unadhani shida ipo wapi? Shida ipo hapa umekuwa ukisumbuka kufanya vitu ambavyo Mungu hakukuumba uje uvifanye? Sasa ufanye nini? Kitabu hiki kina kupa majibu ya maswali yako yote kuhusu kwanini umezaliwa, kwanini upo hai hadi leo na jinsi gani yakugundua kipaji chako na kusudi lakuzaliwa kwako.
đŸ’¥je unajua kuwa kila mwanadamu anapitia vipindi vitatu katika maisha je wewe upo kwenye kipindi gani? Vijue vipindi vitatu ambavyo kila mwanadamu lazima apitie hii itakufanya uweze kuishi maisha bora na maisha yenye mafanikio makubwa. Ndani yakitabu hiki cha utapata nafasi yakujua vipindi hivyo vitatu na jinsi ya kuvitumia ili kuweza kufikia mafanikio makubwa.
đŸ’¥Mambo ya fedha. Hili ni eneo la muhimu sana katika maisha, eneo hili ndio linalotengeneza matajiri wengi duniani je unamaarifa gani kuhusu fedha, zijue kanuni saba ambazo zitakufanya ufikie viwango vya juu vya mafanikio yako, kanuni hizi ndizo zinazotumiwa na watu wenye mafanikio makubwa duniani hebu nawewe zijaribu nakuhakikishia baada ya mwaka mwaka mmoja maisha yako yatakuwa bora sana tofauti na mwanzo na baada ya miaka mitano nakuhakikishia utakuwa na mafanikio makubwa sana.
đŸ’¥Madeni, Madeni, Madeni. Haya yamewaingiza wengi kwenye utumwa mkubwa wa maisha kiasi ambacho kimewanyima kabisa uhuru wakufurahia maisha ambayo ya hapa duniani. Je unajua nini chanzo cha watu wengi kuingia kwenye utumwa huu mkubwa wa madeni? Je unawezaje kuondoka kwenye utumwa huu? Majibu yako yamepatikana sasa ndani ya kitabu hiki cha NGUVU YA MAARIFA kinaenda kuinua mafanikio makubwa ndani yako kitu unachotakiwa kufanya nikuyafanyia kazi maarifa haya namaisha yako yatakuwa bora sana .
JINSI YA KUPATA KITABU HIKI
KWA SASA KITABU HIKI KINAPATIKANA KATIKA MFUMO WA NAKALA TETE YAANI SOFTCOPY KWA GHARAMA YA TSH 10000/=
HARDCOPY 15000/=
Ni mimi rafiki yako
FRANK MAPUNDA
Kwa mawasiliano zaidi waweza kuwasiliana nami kwa namba
0758918243/0656918243/0786115129

0 Comments