KONA YA BIBILIA
*BIBLIA YATUFUNDISHA NINI KUHUSU MAFANIKIO*
SEHEMU YA KWANZA
Habari rafiki yangu, nimatumaini yangu kuwa umeamka salama, nijambo la kumshuru Mungu kwa upendo mkubwa kwetu kuweza kutusaidia mimi nawewe kuwa salama kiasi amnacho tunakutana tena kwenye somo hili ili kuwezakujifunza mambo muhimu ambayo yatatusaidia sana kuweza kuishi maisha bora,
siyo kwamba sisi ni wema sana kuliko wengine ambao sasa hivi hawana hata uwezo wakushika chochote bali wapo wamelala kutokana na changamoto mbalimbali za kiafya bali ni neema yake Mungu pekee kwetu, hivyo nijukumu letu sote kutenga dakika chache za kumshukuru Mungu kwa neema na baraka zake kwetu.
Karibu sana katika somo la leo, teo tunaanza somo mpya lenye lengo la kutuongezea maarifa ya kimungu katika mafanikio yetu. Katika ulimwengu tunaoishi sasa kuna maarifa mengi mazuri ambayo yanamsaada mkubwa katika kutufanikisha maishani mwetu lakini jambo nzuri kujifunza pia kupitia vitabu vitakatifu ili kujua vinatufundisha nini kuhusu maisha na mafanikio, hilo ni jambo la muhimu sana. Katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msaafu nivitabu ambavyo vimejaa hekima kubwa kuhusu maisha na mamno mengi tunayosumbuka nayo sasa ndani ya vitabu hivyo vimeyapatia majibu tayari hivyo hakuna jipya katika ulimwengu huu bali vyote vilisha tokea na katika vitabu hivi vimeweka majibu yake tayari hivyo sisi kama wanadamu tunajukumu kubla na lamuhimu sana kutenga mda kwaajiri ya kujifunza mambo mbalimbali muhimu katika vitabu hivi. Naamini kabisa kama tutatafuta mafanikio kwa misingi ya vitabu hivi basi mafanikio yetu yatakuwa makubwa sana na yenye kuleta furaha na amani ndani yatu.
Binafsi nimejifunza mambo mengi kupitia vitabu hivi na mambo mengi nimekuwa nikiyatumia katika maisha yangu kupitia vitabu hivi yamekuwa na msaada mkubwa kwa maisha yangu na jamii yangu. katika maisha yetu ya sasa watu wengi tumekuwa bise sana kutafuta mafanikio ni jambo zuri sana lakini wengi tumeshindwa kuyapata hayo mafanikio , unaweza kujiuliza tatizo ni nini au tunafanikiwa kuyapata kweli mafanikio lakini tunabaki hatuna furaha kabisa na mafanikio yetu, unadhani shida ipo wapo? Kulingana na changamoto nyingi ambazo tunakutana nazo sisi kama wanadamu zikanifanya nijifunze ndani ya vitabu hivi kujua hali hii kwao ilikuwaje na wao walifanyaje? Hapo ndipo nilipokutana na Hekima za kibiblia ambazo zimenifanya nifurahi nakuona maisha haya inawezekana kabisa kufanikiwa sana nahuku tukiwa na furaha kubwa katika maisha. Jambo la moja la muhimu na nimuhimu sana kulifahamu nikuwa maisha ya mwanadamu yeyote yanavipindi vikubwa vitatu, chakwanza kipindi cha maono/ahadi hiki nikipindi ambacho kila mwanadamu anapitia katika kipindi hiki tuona ona watu mbalimbali walio fanikiwa kwenye vitabu hivi vitakatifu walipitia lakini baada ya kupitia kipindi hiki tunakuja kipindi cha pili ambacho kila mwanadamu anapitia ni kipindi cha matatizo hiki nikipindi kigumu sana kwa mwanadamu yeyote hata ukisoma katika vitabu hivi vitakatifu utaona jinsi walivyopitia kipindi hiki kigumu kwa maisha yao lakini licha ya magumu yote waliyo pitia lakini bado waliendelea kupambana ili kuhakikisha wanafikia maono/ahadi zile walizokuwa nazo katika maisha yao ya mwanzo baada yakuendelea mbele bila ya kukata tamaa basi wakaja kukutana na kipindi cha tatu ambacho kila mwanadamu anakipenda sana kipindi hicho ambacho nikipindi cha mafanikio makubwa hiki nikipindi ambacho Nguvu za kimungu zinaingilia kati juhudi zetu na kutupa mafanikio makubwa. Mambo yote haya yapo kwenye vitabu hivi vitakatifu hivyo katika masomo yetu tutajifunza kwa kina mambo gani ambayo yaliwapa mafanikio makubwa kina Ibrahimu, kina Yakobo, kina Yusuphu, kina daudi, kina selemani na wengine wengi ambao walifikia mafanikio makubwa katika maisha yao ili nasisi tujifunze tunafanyaje kwetu ili maisha yetu yaache urithi mzuri kwa ulimwengu huu kama walivyo acha wengine, hivyo nipenda kukukaribisha sana katika masomo haya usipange kukosa nafasi hii nzuri yakujifunza Biblia inatufundishi nini kwa habari ya mafanikio.
Ni mimi rafiki yako
Mwanafunzi wa Biblia, Mwandishi na mwalimu wa ujasiriamali
Frank mapunda
Unaweza kuwasiliana nimi kwa namba
0758918243
0656918243
0786115129
PIA UNAWEZA KUNUFAIKA NA MAARIFA ZAIDI KUPITIA VITABU VYANGU
*NGUVU YA MAARIFA KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA*
HARDCOPY 15000/=
SOFTCOPY 10000/=
*TAJIRIKA KWA UFUGAJI WA KUKU*
HARDCOPY 15000/=
SOFTCOPY 7000/=
KARIBU SANA RAFIKI YANGU
ASANTE KWA KUWA PAMOJA NAMI NAKUTAKIA SIKU NJEMA.

0 Comments